Info Magazine et Grand Reportage : Vipi Uko na Kule

magazine_sw

Soumis par derick le ven 29/12/2023 - 18:11

Politique_Walikale
Ombi ya upinzani hapa inchini Congo DRC, inayo pendekeza ku vunjwa kwa uchaguzi ulio endeshwa tarehe 20 Disemba iliyo pita, ya zusha maoni tofauti kwa wana siasa, pia kwa wana harakati wa shirika la rahiya la mtaa wa Walikale. Ikiwa wapinzani wana zingatia msimamo wao, wana siasa wa vyama tawala wana ahidi ku sinhwa kwa jithada zote zinazo endeshwa ili uchaguzi huo uvunjwe. Bila ku jali umazi ambao uta tolewa na korti ya ki katiba, shirika la rahiya upande wake  la alika pande hizi mbili kuto zorotesha utulivu wa rahiya.

magazine_sw

Soumis par derick le sam 02/12/2023 - 18:36

Economie_Masisi
Viazi mviringo, yaani birayi ni chakuka ambacho kwas asa, kila jamaa ya Rubaya ina uwezo waku pata pasipo shurti yakua na pato kubwa. Ni hayo ali hakikisha Jean Claude Mukulu, mwandishi wa redio Pole Fm sehemu hii ya mtaa wa Masisi, baada ya mzunguuko alio endesha nafasi mbalimbali  ambapo kuna endeshwa biashara wa viazi hivyo