Sécu_Masisi
Prezidenti wa shirika la raiya la sekta ya Osso Banyungu afurahiswha na utulivu unaosikika siku hizi sehemu hiyo ya mtaa wa Masisi.Fabrica MUNPFIRWA aeleza kwamba hayo ni matunda ya uhusiyano bora kati ya askari wa jeshi la taifa na raiya.Mwanaharakati huyu wa shirika la raiya asema kua ni tangu mwezi march uliopita ndipo wakaaji wa eneo hilo si wahanga wa unyanyasi na aina nyingine za ujambazi.Kwake yeye ingekua heriviongozi husika na usalama kudumisha uhusiyano huwo ili amani na usalama uhakikishwa ndani ya sekta ya Osso Banyungu.
Audio
Ajouter un commentaire