INVITE

Soumis par derick le sam 06/08/2022 - 19:06

Société_Walikale

Karibuni jamaa mia nane za wa hami wa vita jijini Pinga za ishi katika mateso yasiyo weza ku fasiriwa. Tahzari hii ni ya kiongozi wa shirika Dynamique des jeunes leaders pour la paix et le développement dans les territoires de Masisi et Walikale. Songe Baeke Salomon ana ongeza kua wakongoman hawa wana shurtishwa ku  kimbia toka vijiji vyao sababu ya mapambano ya ana kwa ana kati ya kundi mbalimbali za wapiganaji sehemu hiyo ya jimbo inayo patikana mipakani kati ya mita aya Masisi na Walikale. Kwake yeye, wapiganaji hao wange sitisha mizozo inayo wa weka ana kwa ana ili wakaaji nao pia waki kute huru ku rejea katika maka yao.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.