INVITE

Soumis par derick le sam 13/08/2022 - 17:30
tuver

Société_Goma

Kiongozi wa shirika JED jimboni Kivu kaskazini ashutumu yale anayo yataja kua kiburi cha viongozi wamoja wenye kuongoza eneo mbali mbali za sehemu ya kaskazini mwa jimbo mbele ya waandishi wa habari.Tuver WUNDI atoa maonyi hayo siku chache kiisha kiongozi wa chumba cha uhariri wa redio Muungano ya Oicha mtaani Beni kufungwa kwa masaa machache.Mtetezi huyu wa haki za wana habari achukuliya jambo la kufungwa kwa muandishi wa habari bila kosa yenye kutambuliwa na sheria kama mambo ya siyo halali.Kwake yeye,ni muda wakutafuta nafasi wakeudnesha mazungumzo kwa namna ya kudumu kati ya viongozi na waandishi wa habari kwa kujiepusha na jambo hilo mara tena.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.