INVITE

Soumis par derick le ven 19/08/2022 - 10:54
ICCN

SECURITE_ATTAQUE_Shirika_ICCN 

ya shutumu  shambulizi iliyo vizia kuripusha bomu ndani ya jengo munamo patikana vifaa vyinavyo tawa moto wa umeme ipatikanayo pa RWANGUBA ndani ya mbuga la wanyama la VIRUNGA.  Kulingana na kitangazo kilicho wekwa hazarani kuhusu jambo hilo siku ya tatu iliyo pita ; ni kwamba kulionekana muripuko wa vifaa vya viita kwenye jengo hilo iliyo sababisha mahafa mengi. Kampuni ICCN lashotakidole wapiganaji wa M23 . Muhusika na mawasiliano kwenye ICCN atamka kuwa nivigumu kushuhudia kama muripuko huo uliendeshwa kimakusudi wala tu ni moja ya matokeo ya  mapigano kati ya FARDC na M23 zinazo pitika siku hizi katika mtaa wa Ructhuru. Bienvenu BWENDE ashakia kuwa maafa hayo yasababishe kazi zisiweze kuendeshwa haraka kwenye jengo hilo.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.