Société/Butembo/Djiress Baloki
Siku kuu ki mataifa ya bila mfuko ya plastiki ama sachet, ya sherekewa kila tarehe 3 Jullay ya mwaka. Hii ya ruhusu ku sisitiza, pia ku kumbusha umuhimu waku komesha utumizi wa mifuko hiyo, naku igomboa na mifuko nyingine ambayo ina uwezo waku hoza. Munamo mwaka huu, bwana Kaleana Kale akiw amwalimu kwenyi vyuo vikuu ali himiza jamii kuto choma mifuko ya plastiki, yaani sachet kwani moshi wake una ma zara makali zidi ya afya ya wa nyama, pia afya ya binadamu. Mwalimu Kaleana Kale ana fairia kunako microphone yake Djiresse Baloki
Catégorie
Audio
Ajouter un commentaire