SOCIÉTÉ/RUTH
Heshima ya mwanamke inchini Congo DRC ina kumbwa na shida nyingi, mkiwemo hizo zinazo ambatana na utumizi wa mtandao wa Internet. Mmoja kati ya wanawake shujaa wa hapa Goma ana zani kua mitandao ya ki jamii ime geuka njia yaku chafua mwanamke mkongomani. Ni ripoti yake Ruth Omar Gasaza
Audio
Ajouter un commentaire