Magazine de la Femme

Les femmes vendeuses du riz produit au nord-kivu

Soumis par admin le dim 25/01/2015 - 14:29

Makala mwanamke amka yaliwatembeleya wanawake wachuuzi wa mchele inayolimwa katika mitaa mbali mbali za jimbo la Kivu ya Kaskazini. Hawa wanaendesha kazi zawo ndani ya kata la Mbanga ya Kaskazini mjini Goma nafasi wanasagiya mchele huwo wa kishibisha.Wanawake hawa wanafasiriya samani ya kazi yawo piya ya mchele huwo unawotengenezwa hapa nawafundi wa nyumbani wakizani kuwa unakuwa na utajiri mwingi kiafia.Tunawaalika pamoja nasi kujielekeza sehemu za Katoyi kwa kuvumbuwa yale wanawake hawa wanayazungumziya mukisindikizwa nami Godelieve UWIMANA NTAMUHEZA .