Info Magazine et Grand Reportage : Vipi Uko na Kule

magazine_sw

Soumis par derick le jeu 11/04/2024 - 18:33

SECU/GOMA 
Wakazi kadhaa wa Goma wanatoa wito kwa jimùboni na wa mji wa Goma kuzingatia tu kuboresha hali ya usalama ambayo inazidi kuwa mbaya. Wali jieleza siku moja baada ya shambulizi ilio onekana kwenye entrée président , kwenye barabara Goma-SAKE.

magazine_sw

Soumis par derick le lun 01/04/2024 - 18:23

Sécurité/Goma
Kwa namna ambayo haija wai ku shuhudiwa siku zilizo pota, mtuto mkali wa risasi  uli zorotesha uingizi wa wakaaji wengi wa kata Mugunga na Ndoho usiku waku amkia siku ya kanza tarehe 1 April. Ku fwatana  na hali hii, shauri ya vijana ndani ya mtaa wa Goma ya tetea ku zidishwa kwa wapiga doria katika kata hizo ili hawa washike kila mtu anaye tumia silaha kwaku tatiza utulivu wa rahiya. 

magazine_sw

Soumis par derick le sam 16/03/2024 - 16:41

SOCIAL_GOMA 
Wakaaji wamoja wa kata zinazo patikana magharibi mwa mji wa Goma wana sema wanatatizika kupata nafisi yakuzikiya wafu. Mwanamke mmoja anashuhudia kwamba alimzika mtoto wake kwa siri kwenye jalala. Kulingana naye, hakuna kada wa ngazi za chini aliye mjiya kwa msaada ndio maana alichukua uamuzi huu. Anashuhudia kwamba yeye si mtu wa kwanza kufanya hivi. 

magazine_sw

Soumis par derick le ven 15/03/2024 - 18:19

ECONOMIE
Karibuni wajasiriamali, yaani wa entrepreneurs sabini, ama makuni saba wana onesha vizaa wanavyo tengeneza tokea hii ijumaa tarehe 15 March hapa mjini Goma. Ni katika mpango wa soko ya maonesho, yaani ‘’foire agro industrielle et artisanale’’ iliyo fungua milango yake chini ya uandalizi wa muungano ‘’Maarifa’’

magazine_sw

Soumis par derick le ven 08/03/2024 - 05:38

SOCIAL/ NYIRAGONGO 
 ‘’Kiboro’’ hii ndio jina ambayo wa hami wa vita wanao patikana katika kembi ya Kanyaruchinya wame patia gereza zinayo  patikana udongoni, na zinayo shikiliwa na watu wanao miliki silaha wanao ji taja kua wazalendo.  Wa hami wa vita tulio zungumuza pamoja nao wana alika viongozi wa serkali ku kataza uwepo wa gereza hizo