invité_SW

Soumis par derick le sam 20/04/2024 - 17:34

ENVIRONNEMENT

Mwanaharakati mmoja wa swala ya mazingira mjini Goma anapendekeza kwa wakuu viongozi kutekeleza mradi unaolenga kuhimiza wakaaji kuhusu ulinzi wa mazingira na hatua za kijamii zinazopaswa kuchukuliwa ili kukabiliana na ongezeko la joto duniani. Assumani HAMADA Sylvano amesema hayo kutokana na taarifa rasmi iliyotolewa tarehe kumi na kenda aprili na meya wa mji anaye alika wananchi kupanda miti katika viwanja vyao na kulinda zile zilizopandwa kando ya barabara. Kulingana naye, hatuwa hii ya meya pekee haitoshi. Anaamini kwamba ni lazma kuendeshwe uhimizaji mkubwa kuusu umuhimu wa kukinga mazingira ili ku pelekeya wakaaji kuelewa ni kwa nini na jinsi gani kupanda miti kabla ya kuwa alika kufanya hivyo.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.