invité_SW

Soumis par derick le lun 22/04/2024 - 19:19

Sécurité/Goma

‘’Si vema askar iwa endeleye ku zagaa kiyolela mjini Goma wakiwa na silaa zao mikononi’’. Hii ni ombi ya kiongozi wa kata Mikeno siku moja kiisha mtuto wa risasi ulio zuka mchana katik katika aneo lake, naku sababisha kifo cham tu mmoja, pia ku umiwa kwa wengine. Samuel Nsigayehe ana kumbusha kwamba mtuto huu wa risasi uli sababishwa na askari jeshi mmoja mwenyi kua katika hali ya ulevi, na ambaye wa endesha pikipiki wali kataa ku beba kwenyi vyombo vyao vya usafirishaji. Kada huyu wa ngazi za chini ana hakikisia wakaaji wa kata Mikeno kwamba viongoi kwa ngazi zote, wana tumika usiku na mchana ili ku hakikisha usalama katika muji wa Goma.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.