SOCIAL/ NYIRAGONGO
‘’Kiboro’’ hii ndio jina ambayo wa hami wa vita wanao patikana katika kembi ya Kanyaruchinya wame patia gereza zinayo patikana udongoni, na zinayo shikiliwa na watu wanao miliki silaha wanao ji taja kua wazalendo. Wa hami wa vita tulio zungumuza pamoja nao wana alika viongozi wa serkali ku kataza uwepo wa gereza hizo
Audio
Ajouter un commentaire