Atelier/Confession Religieuses
Thamani ya kazi ya viongozi wa kidini kwa utafiti wa amani katika majimbo ya Ituri, Kivu Kusini na Kivu Kaskazini, ni haya yalio ongelewa katika kikao kilicho dumu siku mbili mjini Goma. Kikao hicho kili leta pamoja viongozi kadhaa wa kidini kwa mpango wa Kanisa la Anglikana.
Audio
Ajouter un commentaire