Info Magazine et Grand Reportage : Vipi Uko na Kule

magazine_sw

Soumis par derick le sam 18/05/2024 - 18:32

Minova 
Mganga Mkurugenzi wa  hospitali kuu ya MINOVA anatahadharisha kuhusu hali ngumu ambamo watumika wauguzi kwenye hospitali hii katika kipindi hiki cha vita. Ana towa tahadhari yake wakati mapigano makali yanaripotiwa kati ya FARDC na M23 katika maeneo kadhaa huko Minova na Mupfuni-Shanga.

magazine_sw

Soumis par derick le jeu 09/05/2024 - 18:47

POLITIQUE/RDC

Imani mbaya, kupoteza muda; Ni kwa maneno haya ambapo wnan a siyasa na wale wa mashirika ya kiraia wanaelezea kuhusu ku pelekwa kwa siku za usoni kwa kura ya ofisi ya mwisho ya bunge la kitaifa. Wanafikiri kwamba utawala wa sasa inchini ume leta utata.