Info Magazine et Grand Reportage : Vipi Uko na Kule

magazine_sw

Soumis par derick le sam 16/03/2024 - 16:41

SOCIAL_GOMA 
Wakaaji wamoja wa kata zinazo patikana magharibi mwa mji wa Goma wana sema wanatatizika kupata nafisi yakuzikiya wafu. Mwanamke mmoja anashuhudia kwamba alimzika mtoto wake kwa siri kwenye jalala. Kulingana naye, hakuna kada wa ngazi za chini aliye mjiya kwa msaada ndio maana alichukua uamuzi huu. Anashuhudia kwamba yeye si mtu wa kwanza kufanya hivi. 

magazine_sw

Soumis par derick le ven 15/03/2024 - 18:19

ECONOMIE
Karibuni wajasiriamali, yaani wa entrepreneurs sabini, ama makuni saba wana onesha vizaa wanavyo tengeneza tokea hii ijumaa tarehe 15 March hapa mjini Goma. Ni katika mpango wa soko ya maonesho, yaani ‘’foire agro industrielle et artisanale’’ iliyo fungua milango yake chini ya uandalizi wa muungano ‘’Maarifa’’

magazine_sw

Soumis par derick le ven 08/03/2024 - 05:38

SOCIAL/ NYIRAGONGO 
 ‘’Kiboro’’ hii ndio jina ambayo wa hami wa vita wanao patikana katika kembi ya Kanyaruchinya wame patia gereza zinayo  patikana udongoni, na zinayo shikiliwa na watu wanao miliki silaha wanao ji taja kua wazalendo.  Wa hami wa vita tulio zungumuza pamoja nao wana alika viongozi wa serkali ku kataza uwepo wa gereza hizo 

magazine

Soumis par derick le ven 08/03/2024 - 05:35

KANYABAYONGA
L'agglomération de Kanyabayonga à cheval entre les territoires de Rutshuru et Lubero accueille des milliers des déplacés en provenance de Kirima, Nyanzale, Kikuku, Kashalira, Kibirizi et environs depuis la nuit de Mardi 5 Mars. Si certains fuient l'avancée des rebelles du M23 soutenus par le Rwanda, d'autres fuient l'occupation  de leurs villages par ces terroristes. Pendant ce temps la société civile de Kanyabayonga plaide pour un plan de réponse humanitaire d’urgence. 

magazine_sw

Soumis par derick le ven 08/03/2024 - 05:33

KANYABAYONGA
Jiji ya Kanyabayonga, inayo patikana mipakani kati ya mita aya Rutshuru na Lubero ili pokea  tokea siku ya pili wiki hii ma mi elfu ya wa hami wa vita wanao toka Kirima, Nyanzale, Kikuku, Kashalra, Kibirizi na kandokando.  Ikiwa wamoja  wali kimbia sababu ya woga ku husu ku sogea mbele kwa wa as iwa kundi M 23 ; wengine wali kimbia ku milikiwa kwa vijiji vyao na wa asi hao. Muda huo, shirika la rahiya la Kanyabayonga la omba serkali pamoja na shirika za ki utu ku andaa mpango fulani ili ku jibu kwa hitaji za rarura za wa hami hao. 

magazine_sw

Soumis par derick le ven 01/03/2024 - 19:11

Société_Goma

Wakaaji kadhaa wa Goma hawataona tena makaburi ya wapendwa wao waliozikwa mahali kuitwako Joli bois ama Gabiro. Nafasi hii tayari ina mnunuzi mpya ambaye tayari amejenga lupango hapo akingojea kuendesha kazi zengine za majengo mahali pale.