PRESSE/GOMA
‘’Silaha zi nyamaze, na sauti ipewe kwa wapasha habari’. Ungeni mkono wapasha habari wa kivu ya kaskazini.’’ Ni chini ya mada hiyo ndipo wapasha habari wa hapa jimboni wame sherekea siku kuu uliwmenguni ya uhuru wa upashaji habari hii tarehe 3 May 2024. Tawi jimboni ya shirikisho ki taifa ya wapasha habari, UNPC ili tumia fursa hiyo ili ku zindua rasmi kampeni yaku kusanya pesa kwa faida ya wapasha habari wa hami wa vita.
Audio
Ajouter un commentaire