magazine_sw
Société_Goma
Wakaaji kadhaa wa Goma hawataona tena makaburi ya wapendwa wao waliozikwa mahali kuitwako Joli bois ama Gabiro. Nafasi hii tayari ina mnunuzi mpya ambaye tayari amejenga lupango hapo akingojea kuendesha kazi zengine za majengo mahali pale.