SOCIETE
Kusafiri kwa gavana wa jimbo la kivu kaskazini kwenye soko la makaa siku ya alamisi 22 Februari
ili kutatua muzozo kati ya wachuuzi wa makaa na watumishi wa serkali haikuleta suluhu kamili . wachuuzi wale hasa wale wano tokea tarafani kalehe wasema kuendelea kuwa wahanga wa usumbufu toka watoza ushuru upande moja na upande mwengine wanajeshi .
Audio
Ajouter un commentaire