invité_SW

Soumis par derick le sam 13/01/2024 - 18:37

Société_Goma
Shirika Gorilla coffee ana andaa kampeni ya kusanya  fedha kwa lengo la ku anzisha shuruli za kilimo kwa ajili ya familia zimoja katika kambi wakimbizi ya Rusayo katika mtaa wa Nyiragongo. Kulingana na mkurugenzi wa kampuni hii inayofanya kazi katika sekta ya ku badilisha chakula mjini Goma, lengo ni kusaidiya wanawake na wasichana kadhaa wakimbizi  ambao wanalazimika kwende mbali na kambi yao kwa kutafuta  mboga. Yvette LUSHOMBO NEEMA anaalika watu wa moyo mwema kuunga mkono mpango huu ili kwa miezi michache iweze kutekelezwa. Kwake, shughuli hii sio tu yaku changia ku boresha malisho ya familia za watu hawa bali itasaidia pia katika ulinzi wa wanawake na wasichana hawa ambao mara kwa mara ni waathiriwa wa aina mbali mbali wa ujeuri  zinazofanywa dhidi yao na majambazi. 

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.