invité_SW

Soumis par derick le mar 28/11/2023 - 19:29

Société_Goma.

Wagombea kwenye urais wa Jamhuri walio na hotuba zinazo haribu jamii wanapaswa hazibiwa wakati wa uchauguzi na wapiga kura wao watarajiwa. Hivi ndivyo mratibu wa FDAPID anapendekeza. Vicar Batundi Hangi anasema haya kulingana na tabiya ya wagombea wamoja kwa urais wanao shindwa ku elewesha watu miradi zao kwa lengo yaku wahimiza ku ibali. Mtaalamu huyu wa shirika la raia jimboni Kivu Kaskazini anatoa wito kwa mamlaka ya jamhuri na taasisi zinazo tumika kwaku teteya  demokrasia kuchukua hatua zakuhazibu watu hawa kulingana na sheria. Anakumbusha kuwa wanasiasa hawa wangepashwa imiza mashabiki wao kwa kutapanya ujumbe zinazo ambatana na miradi zao kuliko kuwaacha wasambaze habari zisizo na thamani kubwa. Nakualika kumsikiliza: 

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.