invité_SW

Soumis par derick le mer 29/11/2023 - 18:46

Education_Butembo 
Walimu wa jimbo ya Kivu Kaskazini ya pili wanaomba kurejeshwa kwa Franga za Kongo elfu tano zilizozu katiwa ku mshahara yao tangu mwezi Oktoba kama michango ya mutuelle de santé ya walimu. Kulingana nao, kukatwa kwa mishahara yao haiwezi eleweka, kwa sababu huduma ya matibabu ni bure katika jimbo zingine, ambapo mutuelle de santé yatumika tayari. Walimu hao wali ungana ndani ya Confédération démocratique du travail kwa ajili yakuandika kibarua cha malalamiko tarehe ishirini na mnane Novemba, kwa nia ya kukataa operesheni hii ambayo wanaelezea kuwa ni "wizi" wa matunda ya kazi yao. Prezidenti wa muungano huu anadhani kuwa kama walimu kadhaa watiya saini zao ku kibarua hicho watapewa haki yao. Moïse Ndungo kwa hivyo anatoa wito kwa wenzake akiwaambiya kwamba saini zao ni muhimu kwa hatua hii.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.