invité_SW

Soumis par derick le ven 09/02/2024 - 17:18

Humanitaire_Goma. 

Ma mi aya jamaa zilizotoka Sake tangu siku ya tatu iliyopita wakikimbiya mapambano kati ya muungano FARDC-Wazalendo na waasi M23-RDF wakuwa na lazima kwa haraka ya maji ,chakula na vyoo.Huwo ni mtazamo uliofanywa na shirika  « Action globale et inclusive pour le développement de la RDC, AGIR /RDC lilojielekeza eneo la mangaribi mwa mji kwa kujioneya namna gani wakongomani hawo walikua wakifika bila kitu na kutuliza kwa namna yawo shida yawo.Muhusika na mipango kwenye shirika hiyo akumbusha kwamba watu hawo waishi katika hali ya musongamano na hawana chakula.Kwa masemi yake Jacynthe MAARIFA hitaji zawo ni nyingi kabisa.Anaalika wakaaji wa mji mkuu wa jimbo la Kivu kaskazini kuwa wakarimu kwa kuokoa wale walioponyoka kifo katika mapambano hayo.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.