invité_SW

Soumis par derick le sam 10/02/2024 - 18:42

Sociopolitique_Nation
Uongozi mbaya wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ni mojawapo ya mambo yanayodhoofisha juhudi za kidiplomasia na vitendo vya wakongomani wengi kwa nia ya kupata usaidizi wa jumuiya ya kimataifa kwa ajili ya Kongo. Hii ni wazo ya mchambuzi wa masuala ya kisiasa Phidias SENGE. Mwanasayansi huyu wa masuala ya kisiasa anaeleza kuwa mtazamo wa nje wa mateso wanao pitiya  wakaaji wa Kongo unatofautiana na matumizi mbovu wa fedha nao wanasiyasa kadhaa wa Kongo. Profesa huyu wa sayansi ya siasa anatoa wito kwa wakuu vyongozi ku badilisha mambo ya ndani ya nchi kabla ya ulimwengu wa nje kuchukua kwa uzito kilio cha Wakongomani.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.