invité_SW

Soumis par derick le mer 21/02/2024 - 05:22

Sécurité
Thoma D’Aquin Muiti Luanda, akiwa mzee mashuhuri wa kivu ya kaskazini ana sema ku kulbwa na wasiwasi sababu ya mizozo inayo zuka mara kwa mara kati ya jeshi la taifa, na wapiganaji wanao ji ita kua ‘’wazalendo’’. Aki zungumzia kisa cha mwisho , na ambacho ni cha juma pili iliyo pita, huyu ana shutumu kuona kuna watu tano walio poteza maisha, na ana hofia mizoz kama na hii iendeleye ku ripotiwa ikiwa hakuna kiongozi atakaye tajwa ku simamia kundi za wazalendo. Thomas D’Aquin Muiti ana kumbusha kua  ni hitaji  kuona coordoneta ki taifa wa kitengo kinacho itwa ‘’reserve armée de la defense’’ ana wasili hapa jimboni ili ku weka taratibu katika kundi za wazalendo. Isipo kua hivyo, mzee mashuhuri huyu wa kivu ya kaskazini ana hofu uwepo wa wazalendo hao iwe shida ambayo siku za usoni, ita endelea ku tatiza jimbo.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.