invité_SW

Soumis par derick le lun 11/03/2024 - 07:26

Securite 
Prezidenti wa shirika la raiya la Kongo mjini Goma, anashtumu usalama mdogo unao zidi kuripotiwa mjini ndani ya kata kadhaa ingalao mipangilio za wakuu viongozi zinazo lenga kurejesha usalama. Divin OMBENI KATABAZI anasikitika kuona kwamba mjini Goma, kunaripotiwa mlio wa risasi kila siku kwa masaa za usiku. Kiongozi huyo anabaini kwamba katika sehemu mbalimbali za mji wa GOMA, watu wengi wanajeruliwa, kufariki, kupelekwa nafasi isio julikana na mali ya wengi kuporwa. Anadhani kwamba, yote haya yametukia sababu watu wengi wamekuwa waki miliki silaha bila uchunguzi makini wa vyombo vya usalama. 

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.