invité_SW

Soumis par derick le sam 23/03/2024 - 18:24

Société_Butembo
"Kuorodhesha kwa malipo magari zenye viyo vya rangi nyeusi sio hakikisho la kurejeshwa kwa usalama hata kidogo." Haya ni maoni yaliyotolewa na vuguvugu la kiraia Lucha na vikundi vingine vya vijana huko Butembo. Kupitia kibaruwa walicho weka hadharani katika juma hii, wanaharakati hao wa shirika la raia wanashutumu kupanda kwa bei ya kuorodhesha gari ambayo iliongezeka kutoka dola ishirini hadi dolla makumi saba za Kimarekani. Kulingana nao hii ni wizi mtupu kwa sababu mabandiya wengi wanatembeya kwa pikipiki wanapo endesha operesheni zao. 

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.