invité_SW

Soumis par derick le lun 25/03/2024 - 07:53

SOCIETE_SITUATION SOCIO HUMANITAIRE

Mapambano inayo endeleya kuripotiwa mitaani MASISI na RUTSHURU yakuwa chanzo cha kuzorotesha maisha ya raiya wa groupmenti IKOBO mnamo secta ya WANIANGA mtaani WALIKALE. Idadi ya raiya inaongezeka eneoni humo, sababu ya wakimbizi wengi wanao kimbiya vita kutoka RUTSHURU, MASISI na LUBERO. Habari hii ime hakikishwa na mmoja miongoni mwa wazee mashuhuri wa WALIKALE. MUHINDO MUHEMERI ame tangaza kwamba uhaba wa maji umewakumba watu wa eneo hilo, kukosa chakula na matibabu. Anaongeza kwamba bei ya bidhaa mbali mbali imepaa mnara sokoni. Anaomba kwa wakuu viongozi na kwa wa fazili wa gavmenti kutafuta suluhisho upesi ili kuleteya wahanga hawa wa vita msaada.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.