invité_SW

Soumis par derick le lun 25/03/2024 - 18:40

POLITIQUE_ELECTIONS SENATORIALES

Tume Uhuru ya Uchaguzi  itaandaa uchaguzi wa maseneta hata katika majimbo yaliyo chini ya hali ya kuzingirwa kijeshi. Uamuzi huo unatokana na waraka wa Ceni  wa Machi tarehe 20, 2024 unaowaagiza makatibu watendaji wa Kivu Kaskazini na Maindombe kufungua ofisi hizo haraka kwa ajili ya kushughulikia na kupokea wagombeya. Uamuzi ambao unawashangaza wachambuzi wa mambo ya kisiasa huko Kivu Kaskazini.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.