invité_SW

Soumis par derick le jeu 18/04/2024 - 18:36

Sécurité/ Goma

Kuanzia tarehe mnane aprili hadi tarehe kumi na mnane aprili ya mwaka huu, zaidi ya watu ishirini waliuawa kufuatia ukosefu wa usalama unaokumba vitongoji kadhaa vya Goma. Zaidi ya matukio haya ya mauaji Goma inaishi katika katika wasi wasi kwa sababu haipiti siku bila visa vya vifo , watu waliojeruhiwa kwa silaha ao mpanga, au risasi kusikika pande zote za mji. Takwimu hizi zinajitokeza katika taarifa kutoka kwa baraza la vijana la mjini Goma kuhusu hali ya usalama. Muundo huu wa vijana unahusisha hali hii na presha ambalo jiji linapitia kwa sababu ya vita kwa upande mmoja na kwa upande mwingine kambi zilizohamishwa karibu na Goma ambayo hutumika kama nafasi naku ji ficha ya wabandiya wanao kuwa WAZALENDO wa uongo.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.