invité_SW

Soumis par derick le lun 29/04/2024 - 07:29

Sécurité_Vitshumbi

Wanafunzi wa somo la mwisho la sekondari kwenye shule mbali mbali za Vitshumbi wana ugumu wa kujuwa ya kuwa wata hudhuriya kwa mitiani ya serkali ama apana. Ni shirika Coordination de la jeunesse élite ressortissante des VIRUNGA inayotowa malalamiko yao na kujulisha kuwa sababu ya vita watoto na walimu wamoja walibaki Vitshumbi na wengine kadhaa walikimbiya pande nyingine ya ziwa Edouard. Kordoneta wa shirika hii anasema kuwa hadi sasa hakuna mwelekeo yoyote iliyo tolewa kwa wanafunzi hawa kuusu namna ya ku hudhuriya kwa mitiani ya serkali siku zijazo. Gratien FAKAGE ana hofia kuwa mwaka huu wa shule ufike mwisho bila watoto hawa kumaliza masomo. Anajulisha kuwa ikiwa hivyo mwaka elfu mbili ishirini na tatu-elfu mbili ishirini na ine itakuwa mwaka wa pili bila watoto wa Vitshumbi kwenda shule. Ana alika wakuu viongozi kutatuwa shida hii kwa haraka.

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.