invité_SW

Soumis par derick le sam 04/05/2024 - 18:49

EDUCATION/ NYIRAGONGO

 Sous PROVED wa EPST Nyiragongo 1 anaalika viongozi wote wa mashule katika eneo lake kurejesha kwa wazazi pesa walizo lipa ili watoto wao wahudhuriye kwa mitiyani ya serkali  wa lwaka wa shule elfu mbili ishirini na tatu-elfu mbili ishirini na ine.  Kisuka Baby anajulisha kuwa siku ya mtihani ya tasnifu ama dissertation tarehe sita  Mei mwaka huu ndio tarehe ya mwisho ya viongozi wa shule kurudisha pesa hizo. Kada huyu wa sekta ya elimu anaongeza kuwa kuto rudisha pesa hii ni kutoheshimu uamuzi wa serikali. Anajulisha pia kwamba Nyiragongo 1 na 2 zahesabu wanafunzi elfu mbili kati yao mukiwa wahami wa vita mia tano wa somo la mwisho la sekondari. Kisuka Baby anahakikisha kuwa maandalizi yamefanyika ili mitihani hiyo ipitike vizuri na hakuna mwanafunzi atakayekosa mitihani hiyo kwa sababu ni serkali itagaramiya kila mmoja. 

Audio

Ajouter un commentaire

HTML restreint

  • Balises HTML autorisées : <a href hreflang> <em> <strong> <cite> <blockquote cite> <code> <ul type> <ol start type> <li> <dl> <dt> <dd> <h2 id> <h3 id> <h4 id> <h5 id> <h6 id>
  • Les lignes et les paragraphes vont à la ligne automatiquement.
  • Les adresses de pages web et les adresses courriel se transforment en liens automatiquement.